Jinsi ya kurejelea plastiki kwa matumizi ya jikoni

R

Mkufunzi

rodgers george

Kundi la kozi


Maelezo ya Kozi

Utajifunza mbinu za kutumia makopo ya plastiki kama malighafi kwa ajili ya kutengenezea vitu mbalimbali unavyoweza kutumia jikoni ikiwemo chombo cha kuhifadhia vijiko, tishu na hata kuwekea maua
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa