Namna ya kujenga chapa (brand) ya biashara yako

C

Mkufunzi

charles nduku

Kundi la kozi

Dondoo


Maelezo ya Kozi

Karibu katika kozi hii maalum inayolenga kukusaidia kujenga chapa au brand ya biashara yako. Naitwa Charles Nduku, mtaalamu wa brand na mauzo. Miongoni mwa utakayojifunza ni mbinu mbalimbali za kuvutia wateja, namna ya kutengeneza mazingira ya biashara yako na kutatua kero za wateja.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa