Umuhimu wa kuzingatia muonekano katika biashara

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Hii ni sehemu ya pili ya namna ya kutengeneza chapa (brand )na hapa mtaalam wa chapa na masoko Charles Nduku anaeleza hatua ya pili ambayo ni kuzingatia muonekano wa biashara.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa