Namna ya kutengeneza chapa (brand) katika biashara.
Mkufunzi
david mselewa
Kundi la kozi
Teknolojia
Maelezo ya Kozi
Huu ni muendelezo wa namna ya kutengeneza chapa (brand) sehemu ya tatu na mtaalam wa chapa na masoko Charles Nduka, hapa anaelezea umuhimu wa kuzingatia wa ubora wa huduma katika biashara.