Namna ya kutengeneza chapa ya biashara

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Hii ni sehemu ya nne ya muendelezo wa darasa kuhusu namna bora ya kutengeneza chapa katika biashara , Charles Nduku ambaye ni mtaalam wa chapa(brand) na masoko anaelezea umuhimu wa namna ya kuwa na muendelezo (consistency) wa kutoa huduma bora katika biashara yako.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa