Maelezo ya Kozi
Fuatilia namna mtaalam wa masuala ya mitandao ya kijamii ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya habari na teknolojia ya Media Convergency Asha Abinallah akielezea hatua ya utangulizi wa namna ya kugeuza mitandao ya kijamii kuwa jukwaa la fursa .
Ingia ili kushiriki kwenye maoni