Namna unavyoweza kugeuza mitandao ya kijamii kuwa fursa

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Mitandao ya kijamii ni jukwaa huru linalotoa fursa kwa kila mtu mwenye simu janja kulitumia. Je! ni kwa namna gani watumiaji wa mitandao hii waanweza kuligeuza jukwaa hili kuwa fursa kunufaika katika biashara?
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa