Vitu vya kufanya unapofanya biashara mtandaoni

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Vitu gani vya kuzingatia unapokuwa unafanya biashara mtandaoni? hili linawezakana kuwa ni swali wanalojiuliza watu wengi wanaofanya au wanaofikiria kufanya biashara kwa kutumia mitandao ya kijamii. Fuatilia muendelezo wa darasa la bure (sehemu ya pili) la namna ya kutumia mitandao katika biashara .
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa