Mbinu za kuongeza usalama kwenye mitandao ya kijamii

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Ni rahisi kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya shughuli zako za kibiashara lakini kama usalama wa mtandao wako utakuwa mdogo basi kuna uwezekano mkubwa wa mtandao wako kudukuliwa na watundu wa mitandao. Fuatilia sehemu ya tatu ya muendelezo wa namna ya kutumia mitandao ya kijamii kwa usalama zaidi na Asha D. Abinallah.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa