Namna ya kuongeza uaminifu wa biashara kwenye mitandao ya kijamii.

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Kwa miaka ya karibuni mitandao ya kijamii imekuwa jukwaa muhimu la wafanyabiashara kufanya shughuli zao, moja ya mbinu mojawapo ya kuwapata wateja ni kujenga uaminifu kati ya muuzaji na mnunuzi. Kupitia Jiko Class mtaalam wa mitandao ya kijamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya habari na teknolojia ya Media Convergency Bi Asha D. Abinallah anaelezea namna unavyoweza kuongeza uaminifu katika biashara kwa kutumia mitandao ya kijamii.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa