Hatua kwa hatua utengenezaji wa mkaa mbadala

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao bado hawafahamu namna ya kutengeneza mkaa mbadala, usihofu kwa sababu hauko pekee yako! Fatma Abdulrahman, Mwenyekiti wa kikundi cha kijamii cha Sauti ya Jamii cha Kipunguni jijini Dar es salaam anaeleza kwa undani namna ya kutengeneza mkaa huo. Mkaa huo ni rafiki kwa mazingira, unaokoa gharama za maisha na kufungua milango ya ajira.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa