Maelezo ya Kozi
Tausi Msangi, mkazi wa Kipunguni katika Halmashauri ya Wilaya ya Ilala ni miongoni mwa walimu maarufu wanaofundisha wanawake na wanaume jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala, Kwa zaidi ya miaka nane sasa amekuwa akiifanya shughuli hii ya kutengeneza mkaa.
Mkaa mbadala unatokana na taka mbalimbali ikiwemo mabaki ya vyakula, taka ngumu ambazo siyo plastiki, matawi ya miti, chenga chenga za mkaa, makaratasi, vifuu vya nazi, chenga za mkaa na uji wa muhogo.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni