Jinsi taka zinavyogeuzwa kuwa mkaa mbadala

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Teknolojia


Maelezo ya Kozi

Wanawake wa kikundi cha fahari yetu kilichopo Tabata, Dar es Salaam wako mstari wa mbele katika kuzibadili taka kuwa mkaa mbadala. Mkaa huu mbadala sasa umewasaidia kujipatia kipato na kusafisha mazingira katika maeno yao kwa kuwa taka zilizokuwa zikizagaa sasa zinageuzwa na kuwa fursa kwao.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa