Hatua kwa hatua namna ya kupika pilau la prawns (kamba) - Mwanaume Jikoni S2| EP5

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Mapishi


Maelezo ya Kozi

Mapishi rahisi ya pilau la prawns pamoja na kachumbari ya kiswahili yameandaliwa kwa ustadi na mpishi wetu Baruani Mshale. Katika kipindi hiki utajifunza hatua kwa hatua jinssi ya kupika pilau lilichombuka, jinsi ya kumuandaa samaki kamba (prawns) na kumchanganya kwenye pilau.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa