Jinsi ya kupika chapati laini na maharage ya nazi

D

Mkufunzi

david mselewa

Kundi la kozi

Mapishi


Maelezo ya Kozi

Kupika chapati laini ni moja kati ya changamoto kubwa inayowakumba wapishi wengi wa kitafunwa hicho. JikoPoint tumekuandalia siri adimu zitakazokuwezesha kupika chapati laini na maharage mabichi ya nazi ndani ya muda mfupi.
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa