Mapishi ya Viazi vya kuponda (mashed potatoes) na rosti ya kuku

D

Mkufunzi

daniel samson

Kundi la kozi

Mapishi


Maelezo ya Kozi

JikoPoint inakukutanisha na Franscis Rwebogora ambaye atakuonyesha hatua za maandalizi ya viazi vya kuponda(mashed potatoes) na rosti ya kuku (chicken stew) itakayosindikizwa na juisi ya matunda. Soma: https://jikopoint.co.tz/ Twitter: https://twitter.com/jikopoint Facebook: https://www.facebook.com/JikoPoint
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa