Jinsi ya kupika biriani nyama

D

Mkufunzi

daniel samson

Kundi la kozi

Jinsi ya kupika biriani nyama


Maelezo ya Kozi

Kutana na Kivyera Banduka , Mtaalam wa mapishi ambaye leo anatuonyesha namna ya kupika biriani nyama. Anasema ujuzi wa kupika biriani aliutoa zanzibar alipoenda kutalii na sasa ana mpango wa kufungua sehemu yake ya chakula ambapo atautumia ujuzi wake kwa mapana zaidi. Kwa habari zaidi kuhusu mapishi:- Soma: https://jikopoint.co.tz/ Twitter: / jikopoint Facebook: / jikopoint Iwapo unataka kutushirikisha kwenye show yetu wasialiana nasi kupitia +255 677 088 088 [email protected]
© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa