Jiko linalotumia matofali ya kuchoma linavyookoa mazingira
Mkufunzi
daniel samson
Kundi la kozi
Teknolojia
Maelezo ya Kozi
Msikilize Lark Shirima, mbunifu wa Jiko linalotumia matofali ya kuchoma akieleza namna jiko hilo linavyopunguza matumizi ya kuni na mkaa na kuokoa mazingira.