Maelezo ya Kozi
Kampuni ya M-Gas imebuni teknolojia inayowawezesha watu kununua gesi ya majumbani kuanzia Sh1,000 na hivyo kuwapunguzia gharama watu wasio na uwezo wa kununua gesi ya kilo sita au kilo 15 kwa wakati mmoja.
Hii ni hatua muhimu kuelekea matumizi ya nishati safi na salama na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ambao unaharibu mazingira na afya za watumiaji.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni