Maelezo ya Kozi
Mkurugenzi wa Ichi Renewable Energies, Iqualiptus Malle anatuelezea kuhusu usalama wa nishati ya biogesi. majumbani ukilinganisha na nishati nyingine. Pia Edward Mwenda ambaye ni mtaalamu wa nishati safi na salama anatuhakikishia usalama wa vyombo vya kupikia tunapotumia biogesi.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni