Maelezo ya Kozi
Mkufunzi wetu ambaye ni Mkurugenzi wa Ichi Energies, Iqualiptus Malle anasema mtambo huo baada ya kujazwa taka za lita 15 kwa siku unaweza kuzalisha gesi ya kupikia kwa saa nne kwenye jiko moja. Taka hizo ni taka za jikoni na kwa mitambo mikubwa zaidi, hata kinyesi cha binadamu na wanyama kinaweza kutumika.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni