Maelezo ya Kozi
Kama umekuwa ukitumia nishati mbalimbali ikiwemo umeme bila mpangilio, basi fahamu kuwa unapishana na fursa mbalimbali. Ungana na mtaalam wa nishati endelevu, Leonard Pesambili akieleza namna nishati safi na salama hasa ya kupikia inavyoweza kutumika kwa tija na kuboresha maisha.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni