Maelezo ya Kozi
Kama umekuwa ukipika kwa mazoea bila kutumia vizuri nishati safi na salama ya kupikia unapishana na fursa mbalimbali. Ungana na mtaalam wa nishati kutoka Tangsen Leonard Pesambili kufahamu namna nishati inavyoleta tija katika sekta ya mapishi.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni