JINSI YA KUPIKA UGALI KWENYE PRESSURE COOKER YA WESTPOINT
Mkufunzi
daniel samson
Kundi la kozi
Mapishi
Maelezo ya Kozi
Ugali ni chakulampendwa katika jamii nyingi za Afrika. Mara nyingi hupikwa kwa kutumia nishati ya kuni na mkaa, lakini leo badilisha mtazamo na anza kupikia katika jiko la umeme lenye presha.