Maelezo ya Kozi
Leo tunakuletea kinywaji bora chenye ladha tamu na lishe tele — Avocado Mango Peanut Milk Smoothie. Ni mchanganyiko wa matunda na protini unaosaidia kuongeza nguvu mwilini, kuboresha afya ya ngozi, na kukuacha ukiwa umeshiba muda mrefu.
Katika video hii utaona hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza juice hii nyumbani kwa urahisi, ukitumia viambato vya kawaida kama parachichi, maembe, karanga, na maziwa.
Ni chaguo sahihi kwa kifungua kinywa, baada ya mazoezi, au kama kinywaji cha jioni.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni