Maelezo ya Kozi
Wanaosema hakuna njia ya mkato kupata chips, hawajawahi kuona pressure cooker ikifanya yake. Ndani ya dakika chache tu unapata chips zako na unaenjoy.
Pressure Cooker hizi zenye ubora wa hali ya juu zinapatikana kwa bei nafuu:
Digital: Tsh 180,000
Manual: Tsh 170,000
Vifaa vyote vinapatikana kupitia kampuni ya Nukta Afrika, iliyopo Kinondoni Studio, karibu na Zahanati ya Vijana. Tupigie simu namba 0677088088.
Ingia ili kushiriki kwenye maoni