Hatua ya kwanza ni kuandaa somo lako. Kipi kwenye mapishi una ujuzi nacho na ungependa kufundisha wengine
Hatua ya pili ni kurekodi somo lako kwa njia ya video. Unaweza kutumia kamera yeyote hata ya simu yako, pamoja na kipaza sauti.
Pakia na uzindue somo lako
Hatua ya mwisho. Ukishajiunga kama mkufunzi, ingia kwenya akaunti yako na ufuate hatua za kutengeneza kozi mpya kisha pakia somo lako.