Umewahi kufikiria kuwa unaweza kupika chips kwa kutumia pressure cooker? Kama bado katika video hii utaona jinsi kifaa hiki chenye nguvu kinavyoweza kupika vyakula mbalimbali kwa haraka, kwa ladha ya kipekee na kwa kutumia mafuta kidogo.
Video hii si tu inakupa maarifa mapya, bali pia inakuonyesha mbinu za kipekee ambazo unaweza kuanza kutumia mara moja jikoni kwako ukiwa na pressure cooker.
Ikiwa hujaanza kutumia jiko hilo la umeme lenye presha, basi jikosokoni.co.tz wanayo dukani kwao, unaweza kujipatia moja kwa bei rahisi.
Bonyeza video kujifunza siri ya upishi ukiwa nyumbani na familia.