Mar 4, 2025, 06:33 PM

Biteko: Tanesco itoe elimu unafuu wa kupika kwa umeme

Asema kuna dhana potofu kwa Watanzania kuhusu gharama za umeme kupikia. 

Feb 11, 2025, 07:05 PM

Arusha kuchoma nyama kwa kutumia gesi wakisherehekea siku ya wanawake duniani

Ng’ombe 100 kati ya 500 wanaohitajika kwa ajili ya maandalizi ya nyama choma tayari wameshapatikana.

Jan 17, 2025, 12:10 PM

Fahamu hatua tatu muhimu za kusafisha oveni kwa urahisi

Jiko point imekuandalia hatua tatu muhimu zitakazokuwezesha kusafisha oveni yako bila ‘stress’ huku ikuweka mbali na harufu inayoweza kusababishwa na uchafu wa kifaa hicho.

Jan 8, 2025, 12:50 PM

Serikali kutoa ruzuku kupunguza makali ya bei ya gesi mijini, vijijini

Wakazi wa vijijini watanunua gesi kwa ruzuku ya asilimia 50 na mijini kwa asilimia 20.

Jan 2, 2025, 04:40 PM

Fahamu aina za majiko na faida zake

Kila jiko lina sifa za kipekee ikiwemo ubunifu wa kisasa na ufanisi wa nishati.

Dec 6, 2024, 12:45 PM

Zifahamu kanuni 7 za matumizi sahihi ya microwave

Hakikisha unaitumia katika mazingira ya usafi huku ukifuata maelekezo ya matumizi yake.

Oct 29, 2024, 03:18 PM

Rais Samia ahimiza wake wa marais Afrika kupigia chapuo matumizi nishati safi ya kupikia 

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahimiza wake wa marais barani Afrika kuongeza juhudi katika kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kupunguza athari zinazowakabili wanawake na mazingira kutokana na matumizi ya nishati chafu ikiwemo mkaa na kuni. Kwa muda sasa Rais Samia amejipambanua katika majukwaa ya kitaifa na kimataifa […]

Oct 7, 2024, 06:46 PM

Oryx, ubalozi wa China wagawa mitungi 800 kwa walimu, waandishi wa habari, watumishi wa Serikali Arusha

Mitungi hiyo itasaidia kuongeza kasi ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa  makundi hayo nchini.

Oct 1, 2024, 03:36 PM

Mahundi: Matumizi ya nishati safi ya kupikia si anasa

Kiongozi huyo amesema nishati hiyo ina faida nyingi zaidi kuliko wengi wanavyofikiri.

© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa