Chakula changu hakijawahi kuonjwa!

Na Rodgers George
3 Nov 2021
Kupika wali na nyama kwenye gesi inaweza kuonekana kama kazi ngumu na yenye gharama. Mwanaume huyu atakushangaza.
article

  • Mapishi ya wali na nyama kwenye jiko la gesi siyo magumu kama unavyodhani.
  • Kutana na Kijana anayekufundisha ufundi huo.

Dar es Salaam. Mapishi ya wali nyama yanatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.

Wakati kila mtu akiwa na njia yake ya kupika, kutana na Tyson Angelo ambaye amezowea kujipikia mwenyewe lakini kwa mara ya kwanza, aliikaribisha timu ya Jiko Point kuonja maakuli yake.

Mahitaji:

  • Mchele kilo moja
  • Nyama kilo moja
  • Nyanya
  • Pilipili hoho
  • Vitunguu
  • Mafuta ya kupikia
  • Karoti
  • Chumvi

Tazama kipindi hiki kujifunza utaalamu wa mapishi kutoka kwa Angelo.

© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa