Namna ya kupika chapati na rosti ya nyama

Na Rodgers George
8 Nov 2021
Chakula hiki kinaweza kutumika asubuhi, mchana na hata jioni.
article
  • Unaweza kuandaa mlo huu kwa haraka kwa kutumia jiko la gesi, umeme au mkaa mbadala.
  • mlo huu unafaa kuliwa muda wowote iwe asubuhi, mchana na hata usiku.

Kati ya unga ambao unamapishi mengi, huenda unga wa ngano unaongoza. Kuanzia maandazi, keki, mabanzi na chapati, vyote vinaandaliwa kwa kutumia unga wa ngano.

Ama kweli hauna sababu ya kushindwa kupika.

Mahitaji

  • Unga wa ngano (nusu kilo)
  • Nyama mchanganyiko (figo na moyo)
  • Karoti
  • Hoho
  • Kitunguu
  • Mafuta ya kupikia
  • Chumvi/sukari
  • Mayai (4)

Kufahamu mbivu na mbichi, tazanma video hii ujifunze.

© Copyright 2021 JikoPoint by Nukta Africa