Mar 17, 2025, 05:56 PM
Mapishi ya kababu za jicho la mke mweza
Kababu ni miongoni mwa vitafunwa maarufu ambavyo hupikwa kwa aina yake vikivutia walaji kutoka sehemu mbalimbali nchini. Kitafunwa hiki huweza kupikwa kwa kutumia nafaka na vitowe mbalimbali zikipewa majina tofauti mfano, kababu za kuku ambazo hupikwa kwa nyama ya kuku, kababu za nyama ya ngombe na samaki ambazo zote hupikwa kulinga na matakwa ya mpishi […]